Duuuh pole, mimi naona kama umwambie kama unapiga kbuti, ikiwa bado king'ang'anizi mfanyie kweli, delete all his contacts or change your contacts, kama umekodi chumba hama ili umpoteze address.
Kumbuka pia maamuzi magumu huwa sio rahisi.., ingekuwa rahisi yasingekuwa maamuzi magumu, sometimes tunafanya mambo sio sababu tunapenda bali ndio uamuzi wa busara..Naombeni ushauri nifanyaje ili kumuacha mpenzi wangu bila kuumiza moyo wangu, wala kusongwa na mawazo. Ninampenz wangu nampenda sana lakini ananitesa sana.. Kila nikitaka kumuacha nashindwa pliz msaada wenu ni muhimu kwangu
Katika hili hakuna ushuri wala mshauri mzuri wa nini ufnye bt the best one ni MOYO wako upenafasi ya kuamua,usikilize ni nini moyo wako unakuambia ufanye ndilo ufanye na si m2 mwingine yeyote.Kumbuka ninani alikushauri umpende na ninani ktk wachangiaji anaye feel ur pain&will share ur lonelness.
Duuuh pole, mimi naona kama umwambie kama unapiga kbuti, ikiwa bado king'ang'anizi mfanyie kweli, delete all his contacts or change your contacts, kama umekodi chumba hama ili umpoteze address.