helo great thinkers

Yaani sipendi mtu kujiita great thinker ilihali huna hela.. Apeche.. Alosto, Kapa.. Ah?
 
heloooooo?!jamani naomba mnipokee,ili tuwe tunashirikiana pamoja wanaJF nawatakia heri ndugu zangu
 
Kaka wani mtu kujiita great thinker lazima awe na hela....?Mi nadhan ni awe mwenye busara na hekima lakin si hela...
 
Kaka wani mtu kujiita great thinker lazima awe na hela....?Mi nadhan ni awe mwenye busara na hekima lakin si hela...
.
Hata mimi hapo kale nilijifariji sana kwa kuendekeza fikra design hii, Zilinicost sure i tell, nikagundua isije kuwa nina tatizo la Delusions of Grandeur, ambalo linatufanya tujihisi as being much greater and more powerful and influential than the really we are… then i ask mysely, if i'm so calliper in delivering messages, can i use this karama to raise my economical situations, thats where i start thinking louder much deeper resulting to something better today..

GT in an empty pocket is illusions, unajua mara nyingi kweli inauma lakini lazima tuelezane tu kweli za maisha hata kama inauma but i hope utajikita kuwaza zaidi na mwisho wa saa utaibuka na kitu nzuri tu ambayo itakuwa na manufaa kwako na familia unayowaza kuianza.
 
aise unatisha.....!kiongozi tumweleze na tuelezane realty kwenye kweli basi iwe kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…