Nsumbantale
New Member
- Jun 14, 2013
- 3
- 0
Hodi hodi wenyeji
nafurahi kujiunga nanyi leo
nipate nafasi ya kushiriki nanyi kwenye mijadala mizito ya katiba na mingine
jinsia ni Me na mwenyeji wa mkoani.
nitashukuru kwa maji ya kunywa kwanza maana nimefika nina kiu.