N Nsumbantale New Member Joined Jun 14, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Jun 15, 2013 #1 Hodi hodi wenyeji nafurahi kujiunga nanyi leo nipate nafasi ya kushiriki nanyi kwenye mijadala mizito ya katiba na mingine jinsia ni Me na mwenyeji wa mkoani. nitashukuru kwa maji ya kunywa kwanza maana nimefika nina kiu.
Hodi hodi wenyeji nafurahi kujiunga nanyi leo nipate nafasi ya kushiriki nanyi kwenye mijadala mizito ya katiba na mingine jinsia ni Me na mwenyeji wa mkoani. nitashukuru kwa maji ya kunywa kwanza maana nimefika nina kiu.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jun 15, 2013 #2 Tuliho nkoyi mu JF,mnahe ubebe?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jun 15, 2013 #4 Karibu sana JF...
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Jun 16, 2013 #5 Karibu JF.
N Nsumbantale New Member Joined Jun 14, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Jun 20, 2013 Thread starter #6 asanteni wote kunikaribisha