Ambwene kizito
New Member
- May 31, 2013
- 3
- 0
Ni matumain yangu mko poa humu ndani kwa mara ya kwanza in room naomba ushirikiano wenu kwa kufundishana kulekezana yale yenye kumfaa kila kiumbe mwenye ufaham kama binadam na pale atelezapo mmoja basi tukumbushane ni hayo tu. Pamoja 4life