Helow JF members

Helow JF members

Shao_dar

New Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
4
Reaction score
1
Naitwa Jose Nipo Daslam nafurahia kujiunga humu
Kwani niliufahamu tangia mtandao huu
Hivyo sasa nimeamua kuomba kujiunga na JF, Nashukuru kujumuika na nyinyi wapendwa.
 

Attachments

  • 2019-08-05-14-24-58.png
    2019-08-05-14-24-58.png
    221.8 KB · Views: 20
Mkuu weka picha ambayo umepiga full mwili mzima, afu humu tunatabia ya kutembeleana nitakuita sehemu mkuu wangu uje
 
Mkuu ungeweka picha nzima watu wakutambue vema
Alafu pia jitahidi kudadavua Mada bila woga hapa jamii forum
 
Back
Top Bottom