Helow JF members

Shao_dar

New Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
4
Reaction score
1
Naitwa Jose Nipo Daslam nafurahia kujiunga humu
Kwani niliufahamu tangia mtandao huu
Hivyo sasa nimeamua kuomba kujiunga na JF, Nashukuru kujumuika na nyinyi wapendwa.
 

Attachments

  • 2019-08-05-14-24-58.png
    221.8 KB · Views: 20
0769571016
Hahahaha dogo unaambiwa weka # ya simu unaweka kweli!!!from now angalia sana muenendo wa comments zako humu zitakazokuwa na mrengo wa siasa kuna watu kukupoteza hawaoni tabu.
 
Mkuu weka picha ambayo umepiga full mwili mzima, afu humu tunatabia ya kutembeleana nitakuita sehemu mkuu wangu uje
 
Mkuu ungeweka picha nzima watu wakutambue vema
Alafu pia jitahidi kudadavua Mada bila woga hapa jamii forum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…