Jamani nimeshikika naitaji kuelewa hivi ukitumia mtandao wa Zantel na asycuda inakubali maana nimejaribu naona mauza uza kama kuna mtu mwenye data zozote naomba anisaidie maana nimeshazunguka sana naona sipati maelezo yaliyo nyooka.