help from crdb bank.

help from crdb bank.

Sisomeki

Senior Member
Joined
Mar 5, 2012
Posts
166
Reaction score
49
I want to deposit 10000 USD as fixed for six months any help on how the interest rate would be?
 
Bank nzuri kufungua fixed ni DCB Commercial bank trust me,wana rate nzuri sana
 
asante Sana kwa ushauri Wako mzuri any idea interest rates zao zipo vipi?

Depends with the amount,the higher the amount the good the rate,kwa hiyo usd 10k i don't know
just go n ask
 
I want to deposit 10000 USD as fixed for six months any help on how the interest rate would be?
Hivi bado watu mnafix pesa? Inamaana kazi za kuifanyia zimeisha? Crdb kwa miezi sita, usd, wanatoa 1.3%. Mi ntakupa 7%, ntakupa na hati ya nyumba so usihofu. Kwa maelezo zaidi ni-PM
 
Hivi bado watu mnafix pesa? Inamaana kazi za kuifanyia zimeisha? Crdb kwa miezi sita, usd, wanatoa 1.3%. Mi ntakupa 7%, ntakupa na hati ya nyumba so usihofu. Kwa maelezo zaidi ni-PM

asante Sana kwa ushauri Wako
 
Back
Top Bottom