asante Sana kwa ushauri Wako mzuri any idea interest rates zao zipo vipi?
Hivi bado watu mnafix pesa? Inamaana kazi za kuifanyia zimeisha? Crdb kwa miezi sita, usd, wanatoa 1.3%. Mi ntakupa 7%, ntakupa na hati ya nyumba so usihofu. Kwa maelezo zaidi ni-PMI want to deposit 10000 USD as fixed for six months any help on how the interest rate would be?