Click_and_go
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 451
- 6
Hi ni kwa sababu ndege anagusa waya mmoja tu na pia anakuwa hajakanyaga kitu kingine kama ardhi hivyo mzunguko unakuwa haujakamilika.
Means binadamu akishika waya mmoja tu bila kishika kitu kingine hatokufa...au akivaa viatu vyenye mpira chini?
Hatokufa wala kudhurika!Means binadamu akishika waya mmoja tu bila kishika kitu kingine hatokufa...au akivaa viatu vyenye mpira chini?
Placoid Scales ambayo inakuwa kama insulators.ni ile miguu yake, inascales kwahio inakuwa kama insulator..