Help:How to deal with people with complexity, grandeur and self-importance

Help:How to deal with people with complexity, grandeur and self-importance

Abdulhalim

Platinum Member
Joined
Jul 20, 2007
Posts
17,215
Reaction score
3,076
Guys,

Nimevumilia nimechoka, na nahisi tanki langu la uvumilivu limejaa.

Hivi natakiwa ni-deal vipi na collegue au/na bosi mwenye madharau, asiyesikiza na mwenye majivuno. We have to interact with this people whether we like or not.

Maoni tafwadhali.
 
Just make your job done ,not only done but perfect.
If the guy is a big boss(he can make recommendation on you) and he still doesnt appreciate your work ,like you said he got an attitude and other shit (he is going personal) .Prepare to quit ,look for other job when you still working there .
 
Mutu,

Suali ni la kitabibu zaidi kwamba, how the mental torture should dealt-with it. Kutafuta kazi nyingine inaweza isiwe tiba, bcoz the time will come when a man has to stop running-away and face things.
 
Kwani Mkuu huna bastola wewe...????
 
muombe private meeting mpe feedback, hata awe mjivuni kama mimi huwa na yeye ana hisia na he may show kwamba hajajali, lakini akiwa pekee hutafakari feedback na you will note changes in his attitude

one caution; unapomwambia anzia kwa very low tone ila uende naye kwa jinsi atakavyopanda...
 
muombe private meeting mpe feedback, hata awe mjivuni kama mimi huwa na yeye ana hisia na he may show kwamba hajajali, lakini akiwa pekee hutafakari feedback na you will note changes in his attitude

one caution; unapomwambia anzia kwa very low tone ila uende naye kwa jinsi atakavyopanda...

Mazee kumbuka kwamba binadamu hana tabia ya kutaka kuambiwa ukweli, kamkutano kama hako kanaweza kuwa ndio ntolee..
 
Open door policy inafaa kwa huyo boss wako.Pole
Mie nina Boss wangu mmoja zamani nilikuwa nikimuona natamani nilie ..Ikifika Ijumaa nasikia nimetua mzigo mzito..jtatu naugua ..lakini baada ya kumuomba siku moja nakuongea nae nikampa hali halisi mpaka leo naona mambo ni safi kabisa.
 
Mazee kumbuka kwamba binadamu hana tabia ya kutaka kuambiwa ukweli, kamkutano kama hako kanaweza kuwa ndio ntolee..

Trust me, sio lazima aisee... kumbuka hata wajivuni wana limits zao!! NI namna tu ya kuwekana sawa... Hivi huwa hamna coaching au appraisal sessions? Nimesema hivyo kwasababu nadhani kwa namna kubwa huyo bosi anakuathiri kiafya kwa hayo ma-stress, you have to find a way; hata kwa kutumia mtu ambaye yeye anamsikiliza

Its always face to face meeting that solve may mis-communication and personality issues
 
dawa ndogo,kama ana office ya peke yake,mpe dozi ya viparcel vya haja kubwa,kila siku wahi mapema shusha mzigo ktk kiti chake 🙂, ukifanya hivi kwa miezi sita,ataacha kujiona superior,atajua kuwa hapendwi kaa mavy then mnakuwa level.
if u cant do it mwenyewe hire pple who can do it.
🙂
else onyesha kumpenda sana,mnunulie vizawadi weekly,kadi etc ajistukia then he will b very nice to u 🙁(
 
... "When the great Lord passes, the wise peasant bows deeply and silently farts" ... (Ethiopian Proverb)

Mdau nakushauri uwe wise, kuna wakati atakutana na nguli wenzake, watamshushua. Otherwise talk to him kindly about his obnoxious behavior, and self-consciousness will pull down his arrogance. Hauko peke yako, mimi nina boss mjivuni, na mwenye fitna sana, ambaye kazi yake ni espionage badala ya leadership. Mwoga wa challenge, na asiekubali kuwa kuna vitu vingi hajui. Watu wa namna hiyo ni typical incompetents, usipoteze muda wako mwingi kuwafikiria.
 
...Kutafuta kazi nyingine inaweza isiwe tiba,...
well, inaweza kusaidia, lakini kwa sasa lazima tutafute ku deal na tatizo mbele yetu. Napendelea sana gazeti la WSJ, humo mara nyingi wanasema sifa moja kubwa ya wafanyakazi waliofanikiwa na ma CEO ni uwezo wa kufanya kazi katika extremely stressful conditions. Usimwone mtu ni big Kahuna Bank of America, ana mi stress kibao. Hata huyo kibosile wako hapo. Tuweze ku deal na stress bila kuwa strained.

Kisayansi, unaweza kuweka stress kali ya kiwango kile kile kwenye vitu tofauti, chuma, shaba, na mbao, strain itakuwa tofauti, yani vitakavyo respond will depend on the inner mettle, ama makeup, ya ku withstand the stress (young's modulus). Mbao itavunjika kwanza. Jaribu kutumia ugumu wako wa asili.

Huwezi kuwa tough-talking blowhard kwenye web-based discussions za JF kwa kutukana tukana ovyo watu wasiokuona halafu unaenda kazini in real life unakuwa mlaini laini na kulia kama wussy...gangamala.
 
muombe private meeting mpe feedback, hata awe mjivuni kama mimi huwa na yeye ana hisia na he may show kwamba hajajali, lakini akiwa pekee hutafakari feedback na you will note changes in his attitude

one caution; unapomwambia anzia kwa very low tone ila uende naye kwa jinsi atakavyopanda...

Acid this is very correct!
 
Mkuu

Pia ona ambavyo wewe mwenyewe unavyoweza kumuwezesha akuhujumu.

Unaweza kumshinda vizuri sana

kwa .....

PHP:
Cruel people get their power from the way you respond to their pressure. Your life is in danger from people, especially members of your own family, who chip away, harp, nag and aggravate the life out of you, until you feel like killing them or yourself. 

YOU CANNOT FIGHT THEM WITH RESENTMENT, because they use your resentment to drive you up the wall with fear and guilt, and terrify you into submission.Take heart. There is not a single problem that you cannot solve if you will learn to be patient.

soma zaidi hapa ...FHU - What You Should Know About Being Upset by Roy Masters
 
Back
Top Bottom