Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Bastola ya nini tena? Kazi ikinishinda natafuta dau na nyavu, samaki hawajaisha baharini.Kwani Mkuu huna bastola wewe...????
muombe private meeting mpe feedback, hata awe mjivuni kama mimi huwa na yeye ana hisia na he may show kwamba hajajali, lakini akiwa pekee hutafakari feedback na you will note changes in his attitude
one caution; unapomwambia anzia kwa very low tone ila uende naye kwa jinsi atakavyopanda...
Kwani Mkuu huna bastola wewe...????
Mazee kumbuka kwamba binadamu hana tabia ya kutaka kuambiwa ukweli, kamkutano kama hako kanaweza kuwa ndio ntolee..
well, inaweza kusaidia, lakini kwa sasa lazima tutafute ku deal na tatizo mbele yetu. Napendelea sana gazeti la WSJ, humo mara nyingi wanasema sifa moja kubwa ya wafanyakazi waliofanikiwa na ma CEO ni uwezo wa kufanya kazi katika extremely stressful conditions. Usimwone mtu ni big Kahuna Bank of America, ana mi stress kibao. Hata huyo kibosile wako hapo. Tuweze ku deal na stress bila kuwa strained....Kutafuta kazi nyingine inaweza isiwe tiba,...
muombe private meeting mpe feedback, hata awe mjivuni kama mimi huwa na yeye ana hisia na he may show kwamba hajajali, lakini akiwa pekee hutafakari feedback na you will note changes in his attitude
one caution; unapomwambia anzia kwa very low tone ila uende naye kwa jinsi atakavyopanda...
Cruel people get their power from the way you respond to their pressure. Your life is in danger from people, especially members of your own family, who chip away, harp, nag and aggravate the life out of you, until you feel like killing them or yourself.
YOU CANNOT FIGHT THEM WITH RESENTMENT, because they use your resentment to drive you up the wall with fear and guilt, and terrify you into submission.Take heart. There is not a single problem that you cannot solve if you will learn to be patient.