Salma osman
Senior Member
- Feb 22, 2011
- 164
- 42
Please help me i fooled ma husband.he's jobless so nime mudanganya hivi.yeye yuko arusha mm nairobi.so i told him because of his jobless am running away 2 somalia with his baby i told him he wont c her again. Yani amekopa nauli yuko njia yuwaja.i don knw wat 2 do bcoz i was jus kidding.and i luv him i wont leave him 4 anythg.bt last year he was the one who fooled me.tit 4 tat.bt namuhurumia
Hahahahaha!Unalo!Jiandae kumpokea!Nxt time punguza makali ya utani usije ukamuua mwenzako kwa presha!
Mbona wakat unataka kumdanganya hukuja humu jf kuomba ushauri.
ahh kesi ndogo na tamu iyo....
1.andaa mazingra yawe ya kimalav davi ...seblen ,chumban kuwe na roses,makad na mbwembwe zooote za kimahaba na jina lake liwe umelitundika milangon na madirishan kooote(itakubd tu ufanye mahaba ya form 2b cz umeyataka mwenyewe)
ukienda kumpokea kwenye gar muwekee zawad zake...aikifika hm pia nyngne....
umeyataka bib so gharamia tu!!!
Kiswahili lugha ya Taifa x 2
Huu wimbo nilikuwa naupenda kweli zamani sijui bado unaimbwa.
unaimbwa somalia!!!
Asante kwa taarifa nikipita nitausikiliza nikitoke Ethiopia ubarikiwe
Umenionea Bacha
Kwa vile unajua amekopa nauli and on top of that hana kazi. Akifika, mrefund nauli halafu mwambie ulitaka kumuona na pia mkumbushe leo ni 1st April. Jioni ya leo go out for a romantic dinner with him.