Ndahani my kirusha roho, ulikuwa wapi? nahis kupona mimi. teh teh teh.
mwenzio naumwa na kuomba ushauri unaita vituko? is it fea?
Do u mic me kirusha roho? do u?
Pole sana, kumbe na wewe moyo wako umemdondoshea mtu! Anyway, kila mtu ananasa kwa mtu mwingine kivyake vyake. Ila Kwa mwanamke wa shoka kama wewe, si umetokeee ana kwa ana, ukalishe chemba na kupima mwelekeo ukoje kabla ya kumwaga sera. Usianze kumwaga sera hata kujua unayeongea naye anafikiria nini ndani ya kichwa chake
no no no no no no! u ar rong. love is for loosers!
Kama mmoja wa members wa MMU, if you do not show up yourself I wonder where would you be hiding! But dont you think am a stranger to you?
ugumu ndio unakuja hapo Ndahani, wengi wanasema niongee nae.
nitaongea nae vipi hali simpendi na kumchukia na ananisababishia kupoteza taratibu zangu
za shughuli za kimawazo na hifadhi ya rohoni? kirusha roho can u tel me unafikiria nini ndani ya kichwa chako?
How do you do it....sleeping with a stranger! How???? Explain....as a human being I like those that I come across in many different ways....but not in dreams
Family, Duty and Honor...those are the things that are in my mind. Halafu nataka kuserebuka ila hela imeondka na awamu ya tatu.Awamu ya nne ni inflations
How do you do it....sleeping with a stranger! How???? Explain....as a human being I like those that I come across in many different ways....but not in dreams
nikimuuliza hilo swali ulilosema nimuulize akanijibu kama ulivo jibu, namwambia nini?
Erotica naona umetumia tafsida.....!!!!!!!!!sante, ugonjwa unaitwa kijiba cha roho?
can we controll our dreams? the stranger had over powered my senses,
what was i to do, me jst a weak gal in those strong arms of his?
Nani sasa unayemuulizia? Unaongea kwa lugha za picha picha kama sio mafumb mafumbo....mi dont understand you