mujoma2011
Member
- Jun 2, 2011
- 6
- 0

Mkuu Environmental Engeneering inahusiana na mambo ya innovation na maintainance ya mazingira... (toka maji, ardhi, hewa) Hivo kuhusisha saana kama jinsi ya kuhakikisha mazingira yapo katika hali nzuri - na hii ndo Institutions kama makampuni lazima wahusishe watu wa sector hii... Mfano Mzuri ni Barrick Gold mines... pale kable tu ya kuanzisha Mgodi hawa watu ni lazima walipita pale... na pia huendelea kupita.... hasa hata makampuni ambayo hutoa saana waste disposalsl...

Hio course itakua sio chini ya miaka minne but yaweza kua hata five - Chuo cha Ardhi kwa hio course ni wazuri (IMO) na ni moja ya courses ambayo anaenda kusoma ajitahidi na ahakikishe kua ana GPA nzuri akimaliza... ataenda places... for hio ni moja ya areas imekua/inakua saana hopefully.

HONESTLY I RILY APPRICEIT UR HELP.UR DETAILS R SO HELPFULL,BT THERE IS 1 THING I HAVE TO ASK,WHAT ABOUT FUCULTY REQUIREMENT
tahadhari ndugu:most of the times kufanikiwa kwa mtu inategemea anajituma kiasi gani,attitude, kuwa sharp and creative na mengineyo.kuna watu ni madr wanatembea na mashati yameisha kola.kuna watu wamesoma political science and something,ila wanakula bata,wanaheshimika kwenye ulimwengu wa science etc.huwa namuwaza isaac newton,angekuwa mie nimelala kwa uvivu chini ya mti apple likanipiga,ningeona uvivu kula,ningefutika mfukoni nikiamka nilifanyizie.ila mwenzetu aliwaza mengi ya kutusaidia!
kila la kheri,niseme ni kozi nzuri sana.market haiko flooded na akijituma na kutokuzubaa,atafanikiwa sana.kuna issue za environmental audit na env impact assessment pia