help kuhusu hostel n rent rooms

josby

Member
Joined
Sep 8, 2012
Posts
85
Reaction score
1
salam wanandugu!!!
sasa ni jamboree hili moja nilikua nahtaj msaada wenu, wap kuna uwezekano wa kupata private hostels o room za kurent., itakayokua rahc na kufka chuoni Ardhi...I hop nimeleta maada jukwaa linalofaa coz tc ol abt a ples to stay uli kupata education yangu bila shda hapi ardhi university!
 
Mimi kiswahili chako kimenishinda kwa kweli, ngoja waje wataalam wa kiswahili labda watakuelewa mkuu
 
Kama uko dar nenda sehemu inaitwa survey na hapo kuna hotel inaitwa survey hotel kuna kibarabara kinaingia ndani ya mtaa huko room zilikuwa available japo kwa sasa sina uhakika saana ila jaribu tena room za kujitosheleza.
 
Na vipi kwa huyu wa St. Johns center ya Dar wakuu atapata wapi hostel au room za kupanga?
 
Kajifunze kuandika vizuri ndo uje huku kuomba msaada
 
duh..hawa ndio wanafunzi wa siku hizi?
 
Tatizo la jf ndo hili yani kuna watu kila kitu lazima wa comment mathread yanakua makubwa but ndani ni up u uzi tu kama hujaelewa lugha acha usicomment kwani kuna rule inasema lugha lazima kiswahili? may be katumia lugha yao so sio lazima uelewe wenye kuelewa watamjibu nawasilisha
 
mapovu yanakutoka nini sasa mbona aujampa ushauri au kufura kama kobra anaetaka kutema mate,we kuna jamaa ameweka red ktk maneno tata soma vizuri udadavue ni lugha ipi imetumika
 
mapovu yanakutoka nini sasa mbona aujampa ushauri au kufura kama kobra anaetaka kutema mate,we kuna jamaa ameweka red ktk maneno tata soma vizuri udadavue ni lugha ipi imetumika

kama hujaelewa si unaacha ndugu aliye mwelewa kama hapo juu kamshauri au unataka na hii tuijaze kwa comments za kipu u zi ambazo hazitamsaidia yeyote zaidi ya malumbano kama umwerevu nadhani utakua umenielewa nini nakimaanisha asante
 
tatizo lao wanaleta viswahili vya mtaani au kama kijiweni, maeneo ya kupanga nenda savey, msewe, golani utapata vyumba kuanzia 35,000 hadi 50,000 kwa msewe na golani.
 
tatizo lao wanaleta viswahili vya mtaani au kama kijiweni, maeneo ya kupanga nenda savey, msewe, golani utapata vyumba kuanzia 35,000 hadi 50,000 kwa msewe na golani.

mkuu vipi na huyu wa St. Johns center ya dar malapa yeye hostel au vyumba atapata wapi?
 
Mkuu hapo kwenye red sijui hata unaongelea nini,mbona wewe umetumia herufi sahihi zinazoeleweka?
 
tatizo lao wanaleta viswahili vya mtaani au kama kijiweni, maeneo ya kupanga nenda savey, msewe, golani utapata vyumba kuanzia 35,000 hadi 50,000 kwa msewe na golani.

nikipata chumba cha laki 4-6 savei ntafurahi sana
 
kozi gani unakuja,mkuu?
 
asante sana ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…