iamallymtambo
Senior Member
- Dec 25, 2014
- 127
- 47
Habari wakuu, mimi ninafanya kazi katika kampuni xxx walinihakikishia kunipa mkataba lakini hadi leo sina mkataba imeshapita miezi zaidi ya mitano na sina jinsi ya kudai mshahara maana nalipwa hela ya msosi na nauli tu.
Kuna njia yoyote ya kisheria kuniwezesha kupata haki yangu kama sina mkataba au ndo inabidi nisepe nisamehe tu?
Kuna njia yoyote ya kisheria kuniwezesha kupata haki yangu kama sina mkataba au ndo inabidi nisepe nisamehe tu?