HELP: Labour Laws / Haki za ajira

iamallymtambo

Senior Member
Joined
Dec 25, 2014
Posts
127
Reaction score
47
Habari wakuu, mimi ninafanya kazi katika kampuni xxx walinihakikishia kunipa mkataba lakini hadi leo sina mkataba imeshapita miezi zaidi ya mitano na sina jinsi ya kudai mshahara maana nalipwa hela ya msosi na nauli tu.

Kuna njia yoyote ya kisheria kuniwezesha kupata haki yangu kama sina mkataba au ndo inabidi nisepe nisamehe tu?
 
huna pa kusimamia kwa sababu huna mkataba. cha kufanya dai mkataba, wasipokupa basi jua wewe ni kibarua. kifupi huo ni unyanyasaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…