Advertising strategy ni mkakati wa kufikia Advertisement goals. Strategy inatengenezwa ktk departmental level na meneja wa masoko au pia inaweza kuwa outsourced kwa consultants. Professionaly, ktk management science departmental level strategies kama hii zinaitwa Business Level Strategies. On the other hand,
Advertising tactics ni mbinu za kuweza kufikikia mkakati. Hz tactics zaweza kutengenezwa na experienced memberz wa marketing team baada ya kusoma na kuelewa advertising strategy iliyotengenezwa na wakuu wa idara husika..