pole sana, kama ulivyoshauriwa, nenda hospitali, sijui kama umeshachelewa sana! Hakuna haja ya kukaa unatafuta tiba mbadala kabla ya kwenda hospitali, afu zikigonga mwamba ndo unafikiri kwenda hospitali, huu ni ujinga! Ukianza kijisikia ndivyosivyo, mapema, changanya makongoro, nenda hospitali! Ikishindikana hospitali ndio tafuta tiba mbadala! Wengi wamepoteza maisha, au kupata vilema vya maisha kwa kuchelewa kwenda hospitali wakihangaika kwa kina profesa maji marefu! Maji yakiwafika shingoni ndio wanakwenda kufia hospitalini kwa ugonjwa ambao kama wangewahi wangepona! Sasa ww dada mpaka unaoza bado tu hujaamua kwenda kumuona daktari, ujuha huu!