pius maige
Member
- Mar 2, 2012
- 57
- 8
form 6 leaver,naenda kusoma prcure,Je after bachelor mitihan ya bodi ipo?procurement audit ni nin?,uwe nondo zaid nin uwe nacho au uongeze kama ziada....TEL ME PLZ.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
form 6 leaver,naenda kusoma prcure,Je after bachelor mitihan ya bodi ipo?procurement audit ni nin?,uwe nondo zaid nin uwe nacho au uongeze kama ziada....TEL ME PLZ.
Kwa kua utakua na Bachelor sidhani utahitajika kufanya mtihani ili kufanya kazi ya Ununuzi. Kwa sababu masomo yako ni technical training kwa kazi hiyo. Pia ukisha pata Bachelor unaweza kubaliwa kufanya mtihani wa CPA.
Procurement Audit maana yake ni Mkaguzi wa Ununuzi. Serikali na Kampuni kubwa hua zina Idara maalum ya kununua vitu, hasa mashine, contracts, vitu vya ujenzi au vyenye thamani kubwa. Idara hii Procurement Department wakati mwingine huitwa Purchase Department hufuata utaratibu wa ununuzi, kulingana na maelekezo ya viongozi na utaratibu wa Accounting.
Procurement Audit, Kwa hiyo, ni mkaguzi wa mchakato wa ununuzi. Shule utasoma Audit Standard na procedures za kufanya huo ukaguzi (internal audit).
good luck!