help me procurement info...

pius maige

Member
Joined
Mar 2, 2012
Posts
57
Reaction score
8
form 6 leaver,naenda kusoma prcure,Je after bachelor mitihan ya bodi ipo?procurement audit ni nin?,uwe nondo zaid nin uwe nacho au uongeze kama ziada....TEL ME PLZ.
 
form 6 leaver,naenda kusoma prcure,Je after bachelor mitihan ya bodi ipo?procurement audit ni nin?,uwe nondo zaid nin uwe nacho au uongeze kama ziada....TEL ME PLZ.

Kwa kua utakua na Bachelor sidhani utahitajika kufanya mtihani ili kufanya kazi ya Ununuzi. Kwa sababu masomo yako ni technical training kwa kazi hiyo. Pia ukisha pata Bachelor unaweza kubaliwa kufanya mtihani wa CPA.
Procurement Audit maana yake ni Mkaguzi wa Ununuzi. Serikali na Kampuni kubwa hua zina Idara maalum ya kununua vitu, hasa mashine, contracts, vitu vya ujenzi au vyenye thamani kubwa. Idara hii Procurement Department wakati mwingine huitwa Purchase Department hufuata utaratibu wa ununuzi, kulingana na maelekezo ya viongozi na utaratibu wa Accounting.
Procurement Audit, Kwa hiyo, ni mkaguzi wa mchakato wa ununuzi. Shule utasoma Audit Standard na procedures za kufanya huo ukaguzi (internal audit).

good luck!
 
Ivi huwa ina dili sana hiyo kozi?
 
proecurement is very marketable now days,cha msingi ni kuisoma na kuelewa vizuri,na badae ufanye mitihani ya board,hii itakusaidia kujiajiri kama procurement consultant au kupata mikataba ya kuajiriwa kama procurement specialist kwenye mashirika ya kimataifa
 

mziba!procurement wanatakiwa na kufanya mitihani ya proffesional body yao psbt na utakuwa awarded cps (t) hapo ndo uaweza kutambuliwa kama professional,au ukafanya cips uk ,ambayo inatambulika world wide!
 
Ni kweli na kwa sasa soko lake ni bomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…