inategemea kama swali ni trick question au unataka jibu la kwenye paper...,
kama shida yako ni kuelewa na kimtaani mtaani basi inategemea na scenario na majibu yote yanaweza yakawa correct......(lakini ambayo yapo karibu sana na jibu ni Capital na process yenyewe ya kufanya hivyo ni investment
Akiweka vitu kwenye biashara ili kuanzishia au kuendeshea biashara yake kama nyumba, magari n.k. (baada ya muda hizo zitakuwa ni assets zake kwenye hio biashara)
Akiunganisha biashara yake nyingine kwenye biashara nyingine au kuanzisha biashara nyingine (au kuombea mkopo kama collateral au merge ya business mbili.... au kama yeye kazi yake ni kuanzisha biashara na kuzifanya profitable na kuziuza (basi hiyo itakuwa ni Business yake)
Vile vitu vyote alivyotumia kuanzisha hii biashara pamoja ni hio money injetion aliyoweka ni Capital
Process ya kuweka hizo pesa kwenye biashara ili baadae aje apate faida ni Investment
Therefore I can argue successfully kwamba jamaa alichofanya ni:- Investment pia kwamba alichokiweka ni Capital although pia naweza nikajitahidi kusema alichofanya kulinganisha na ambavyo huwa anafanya na ni mara ngapi kwamba hii ni Business Ingawa hii process haiwezi kuitwa Assets lakini naweza nika-argue anachokiweka hapo kama kwenye hii biashara ni Assets (mfano kama mimi mwenyewe talent yangu ni ya hali ya juu basi takuwa ni Asset kwa hiyo biashara)