simu ilikuwa inatumika UK nimekuja nayo TZ ila ukiweka SIM card inakuambia insert the right SIM halafu kuna sehemu ina kupa option ya ku unlock sasa ninaomba kama kuna anayefahamu how to unlock ili niweze tumia network providers wa hapa TZ, simu ni LG model GB 102