B Ba Liz Member Joined Aug 10, 2013 Posts 58 Reaction score 8 Oct 28, 2013 #1 Jamani naomba mnisaidie,kama kuna mtu anaejua second selection za diploma muhimbili huwa zinatoka mwezi wa ngapi?na waliochaguliwa hujiunga mwezi wa ngapi?msaada please.!Mungu awabariki.
Jamani naomba mnisaidie,kama kuna mtu anaejua second selection za diploma muhimbili huwa zinatoka mwezi wa ngapi?na waliochaguliwa hujiunga mwezi wa ngapi?msaada please.!Mungu awabariki.
tofali JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 4,010 Reaction score 3,419 Oct 28, 2013 #2 Huwa yanatoka nov nadhani na kujiunga ni as soon as unaona jina lako..so usijali sanaa...kwa kifupi huwa haivuki dec utakua chuo
Huwa yanatoka nov nadhani na kujiunga ni as soon as unaona jina lako..so usijali sanaa...kwa kifupi huwa haivuki dec utakua chuo
B Ba Liz Member Joined Aug 10, 2013 Posts 58 Reaction score 8 Oct 28, 2013 Thread starter #3 Axante kaka!si unajua tena nmekaa nyumban hadi nmechoka!kwa hiyo bro wengine wanaendelea kusoma kama kawaida?
Axante kaka!si unajua tena nmekaa nyumban hadi nmechoka!kwa hiyo bro wengine wanaendelea kusoma kama kawaida?