Help..!! Nahitaji kuanzisha music destribution Company..

Help..!! Nahitaji kuanzisha music destribution Company..

stormryder

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
3,776
Reaction score
5,786
Nahitaji kuanzisha kampuni ya usambazaji wa muziki ama Music Store Company Mojawapo ya njia ya malipo ni M-pesa nahitaji kufahamu namna ulipaji wa M-pesa ama tigo-pesa na njia kama hizo unavokuwa naomba unitafute WhatsApp +255-656188644 kama unafahamu inavofanya kazi... Tafadhari Msaada wako ni muhimu
 
Wasiliana na hizo kampuni (Tigo, Voda) juu ya dhamila yako watakupa ushauri mzuri tu juu ya malipo kupitia mitandao yao.
 
Back
Top Bottom