Nahitaji kuanzisha kampuni ya usambazaji wa muziki ama Music Store Company Mojawapo ya njia ya malipo ni M-pesa nahitaji kufahamu namna ulipaji wa M-pesa ama tigo-pesa na njia kama hizo unavokuwa naomba unitafute WhatsApp +255-656188644 kama unafahamu inavofanya kazi... Tafadhari Msaada wako ni muhimu