Hebu disconect mouse, keyboard na vga cable then chomoa ram na weka tena kama ziko mbili badili ya huku weka klule then unga na washa tena. Halafu nadhani ram yako itakuwa ndogo sana if so upgrade ram ili iwe na speed nzuri. Zaidi tuwasiliane kama itagoma tena niende mbele zaidi