help on good quality Building equipments information

mimimpole

Member
Joined
Dec 7, 2009
Posts
23
Reaction score
22
Kwa mwenye ufahamu wa bei na ubora wa vifuatavyo,atoe maoni yake

1.Tiles

Naomba bei za good Quality tiles.porcelain,ceramic all good.nahitaji za sakafuni,bafuni na jikoni.

2.Gypsum for ceiling.
Naomba bei za gypsum,majina ya brand zilizopo dar,conatcts na bei zao

3.kitchen sinks,toilets, and sanitary equipments

building equipments nyingi zinatoka china,sina ubaya nazo,naomba brand zao,ISO standards kama zipo na bei in sqm.
kwa wale wanaosema zimetoka uturki,spain wakati sio hizo sizihitaji.kama mtu anasema tiles za spain,amuweke manufacture,website zao,agent wao TZ etc..,

I don't hate made in china as much as i hate fake made in colombia,venezuela,spain and some wacky country labels unfaithful traders put on their merchandises and products
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…