M manyembe Member Joined Feb 10, 2010 Posts 8 Reaction score 0 Sep 5, 2010 #1 naomba msaada wadau wa tech jinsi ya kujua salio wakati nnapotumia internet ya zain...
MAMA POROJO JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 4,974 Reaction score 785 Sep 6, 2010 #2 Kuna tatizo kwenye server, pia kuna tetesi kuwa watanzania waliokuwa wanafanya hizo kazi waliondolewa na nafasi zao kuchukuliwa na Wakenya, ambao wameshindwa, ndiyo maana kwa week ya pili sasa huduma nyingi ni kama zimesimama.
Kuna tatizo kwenye server, pia kuna tetesi kuwa watanzania waliokuwa wanafanya hizo kazi waliondolewa na nafasi zao kuchukuliwa na Wakenya, ambao wameshindwa, ndiyo maana kwa week ya pili sasa huduma nyingi ni kama zimesimama.