Help please eset username and password.

Mu-sir

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
3,621
Reaction score
1,636
Wakuu nime install Eset smart security 4 kwenye pc yangu na ninataka kui update online
lakini inahitaji username and password.Any help pleaseeeeeeeeeeee. HESHIMA MBELE.
 
Mkuu Mu-sir hujatuambia hiyo Eset smart security 4 yako ni Version gani? Hebu bonyeza hapa jaribu waweza kupata User name na Password ukifanikiwa usisahau kusema Asante japo (Thanks) bonyeza hapo. Serials & keys - unlocks the world
 
Haya mkuu ngoja nijaribu nakubonyezea na senkyuuu sasa hivi
 
Mkuu Mu-sir hujatuambia hiyo Eset smart security 4 yako ni Version gani? Hebu bonyeza hapa jaribu waweza kupata User name na Password ukifanikiwa usisahau kusema Asante japo (Thanks) bonyeza hapo. Serials & keys - unlocks the world

mkuu hiyo link uliyonipa nilijaribu lakini mpaka u-sign up na ulipie mimi nahitaji free link. kama inawezekana nisaidie tena ni version ya 2009
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…