Virtuouswoman
New Member
- Jun 21, 2009
- 2
- 0
Salamu wana JF, ndugu yenu natafuta ajira in HR, nina few years of experience UK- nimesoma MA in HR, pls tusaidiane. Ningependelea zaidi nafasi za Dar - Asante my nduguz
Wanajamii, na mimi naomba msaada, natafuta kiwanja cha serikali kilichopimwa medium or low density along bagamoyo road, nimepata tetesi kwamba serikali imepima viwanja maeneo ya Boko Mbweni. Sijua hata pakuanzia, nitapataje kiwanja huko?
Umekuja wakati muafaka. Wasiliana na Maxence Melo 0713444649
Pia kuna block nzima inauzwa kibada. 1500sq, 18mil
Asante, ingawa namba haipatikani lakini naendelea kumtafuta