Kwa physics kuna Chand 5 na 6,Nelkon,Calculation for A Level Physics,University Physics(U.P)Roger Muncaster na Understanding Physics.Haya ndio majina ya madukani.Kwa Chemistry kuna Chand 5 & 6,Ramsden(ya maswali na ya notes),Raymond Cha na Undestanding Chemistry..Kama kuna nilivyosahau wakuu mnaweza kuadd hapo