Pelham 1 JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 548 Reaction score 99 Nov 15, 2012 #1 Wadau habari zenu Naombeni mkopo wa Million 3 kuna mzigo wangu umekwama, nina hati ya kiwanja chenye thamani ya million 7 maeneo ya Mbezi ya Kimara Alie tayari anijulishe plizzz... Natanguliza shukrani za dhati.
Wadau habari zenu Naombeni mkopo wa Million 3 kuna mzigo wangu umekwama, nina hati ya kiwanja chenye thamani ya million 7 maeneo ya Mbezi ya Kimara Alie tayari anijulishe plizzz... Natanguliza shukrani za dhati.
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,357 Reaction score 3,550 Nov 15, 2012 #2 Mkuu wewe vipiiiiiii?! Unanitisha sasa. Napiga chini nilichoahidi hapa : https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/349766-naombeni-mkopo-plizzz.html
Mkuu wewe vipiiiiiii?! Unanitisha sasa. Napiga chini nilichoahidi hapa : https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/349766-naombeni-mkopo-plizzz.html