Help;wap naweza pata majani ya mbaazi(dar)

Microsoft

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
623
Reaction score
366
Wakuu naomba msaada kwa hapa dar wap ntapata majani mabichi ya mbaazi,ikibidi hata kwa kununua kwa bei ya kawaida?ni kwaajili ya dawa ctapenda kutaja zaid but natanguliza shukran
 
Du mkuu yapo ya kukingaaaaaaa nenda temeke mchicha wape vijana kazi watakuletea viloba kwa viloba fedha yako!! Ukifika posta panda magari ya Temeke Chang'ombe shuka Mchicha.
 
...mkuu cjakusoma fresh,hapo mchicha nikifika nimwone nan?or ni sehemu ambayo pana watu wanalima bustani za mboga so nikifika niwaone hao?
 
...mkuu cjakusoma fresh,hapo mchicha nikifika nimwone nan?or ni sehemu ambayo pana watu wanalima bustani za mboga so nikifika niwaone hao?

Ukishuka ulizia vijana wanaolima mboga,ningekua dar ningekuchukulia zipo nyingi sana.
 
...mkuu cjakusoma fresh,hapo mchicha nikifika nimwone nan?or ni sehemu ambayo pana watu wanalima bustani za mboga so nikifika niwaone hao?
Hapo wanalima mbogamboga sana karibia na kituo kipya cha mafuta au karibu nashule ya sekondari kibasila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…