The great R
Senior Member
- Jun 7, 2011
- 142
- 37
Katika kukua kwangu nimeshuhudia migogoro mingi ndani na nje ya ndoa kuhusu mwanamke au mwanaume kuhudumia familia zao(baba,mama na ndugu zako ie kaka,dada na wadogo zako).
Kitu kizuri nilichogundua ni kwamba,ili waache kudepend na kuwa kero kwenu nyie wawili,like wanakuja kukaa kwako,mwenzi wako anachukia basi ili mradi tafrani.
Nikuestablish a thing laki business, mgahawa, saloon, na vinginevyo, ambapo itakua under wao ikawatimizia swala la msingi kimaisha FOOD na madogmadogo.
Si kwamba ndio mwisho wakuwasaidia la, bali itapunguza purukushani na kuwapa muda wakujijenga.
Sijui wengine mnalionaje hili.