Habari za muda huu ndugu zangu JFC?
Naombeni mnisaidie computer yangu ina tatizo la kutorestart. Mwanzo kabla sijaiformat ilikuwa inauwezo wa kurestart lakini kwa sasa nikiishutdown au nikiizima kwa muda huo haiwezi kuwaka mpaka ikae muda muda fulni ndipo itaanza kuboot
Sasa mimi nina mawazo yafuatayo kuhusu solutions:
Kwanza unaweza kutatua tatizo hilo kwa kufuata njia zifuatazo ikiwa tu na wewe una ufahamu wowote juu ya hivi vitu:
Click start,Run >Type regedit ukiwa pale fungua HKEY_CURRENT_USER\Control Panel\Desktop,Double click
MenuShowDelay(in the R/H column)na badilisha value to 100 na itaongeza speed katika start menu.
Pili, inawezekana umejaza midubwana (programs) nyingi zisizo na maana katika regisrty. Unajua kuna watu wanakuwa na Anti-Virus mbilimbili au ana-enable Firewall ya Windows wakati anayo full package kama ya Norton Anti-Virus na Firewall pamoja na zote ikiwa hukuweka limits ya kufanza kazi humo ndani basi kutakuwa na tatizo.
Unajua computer ikianza kuwaka inapitia programs zote zinazotakiwa kuwa tayari kutumika pale itakapowaka kikamilifu. Sasa kama programs ni nyingi itakuwa inachukua muda au inaelemewa na nyingi za hizo huwa hazihitajiki kuwa zina-run.
Sasa nini cha kufanza:
Fungua Task Manager - CTRL+ALT+DEL - na click kwenye Processes tab
Je unaona ni programs ngapi zina-run hapo?
Unapokuwa na unnecessary background processes running takes up your system's resources resulting in the symptoms which you describe kwa sugu.
Sasa hapa kama unamwamini fundi yoyote yule nenda kampe na atazistop zile zote zisizotakiwa ku-run.
NB:
Unatakiwa uwe una ujuzi kidogo ili usiliwe fwedha zako kwa kuelewa fundi anafanzia nini hio mashine yako.