Omba indirect wakati wa maongezi.
Akufukuzae hakuambii toka!
Kwa hyo unataka kuanza kumchuna sio?
iko cku utampata ucjari.lini Mungu atanipa asieweza kupiga mizinga kama ww!!!!!!!!!!!!1
thanx best kwa ushauri wako!Chukulia mfano huna boyfriend, ungekuwa na shida ungemuomba nani pesa?au ungefanyaje?
Hata kama utamuomba pesa, uombe ukiwa na shida kweli..na isiwe mazoea!
Kuhusu mawasiliano na kutokujali kama wewe, nadhani ungeangalia movie inaitwa ''Two Can Play That Game'.. utajifunza mengi..!
Siyo lazima umpigie, unaweza kupunguza mawasiliano hata text moja kwa siku..thamini uthaminiwe best!!
na yeye hawezi kujiongeza?acha mambo ya kale. We kama unashida halafu unapiga kimya anataka jamaa aote kuwa unahitaji msaada?
Jamani m a girl n nina mpenzi na ninampenda sana but hanijali kiukweli mimi ndiye ninayemcal kila cku wakati nasoma,kama mnavyojua hali ya uanafunzi na yeye amepata temporary work ya civil engineering in a certain company..jamani me mwenzenu cwezi kuomba pesa nina aibu so nilimuambia akanitel hawezi kujua if nina shida bila kumuomba pesa..nifanyeje?