sisi tuna kampuni ya uuzaji wa vitu vya handcraft na handmade product kwa watalii na tuna maduka ktk maeneo ya utalii huku zanzibar tunahitaji mbia wa kusaidia katika biashara yetu kwani tunataka kuitanua na kuwafikia wateja wengi zaid mbia aliye tayari kuinvest na sisi awasiliana na sisi kupitia
asilia_znz@yahoo.com kwa maelezo zaidi