Idd hashim
Member
- Jan 4, 2013
- 79
- 17
Neno juice ni kiingereza kiswahili chake ni kipi?
mi cjapinga lakini naona we unaniletea utani! Kwa hiyo hata supu si itaitwa maji ya nyamaMaji ya matunda
mi cjapinga lakini naona we unaniletea utani! Kwa hiyo hata supu si itaitwa maji ya nyama