help

help

Mkuu huhitaji elimu ya aina yoyote ile ili kuwa Mjasirimali, bali unahitaji elimu ya kuendeleza biashara yako,

Ni utashi wako t undo unaweza kukufanya uwe mjasirimali, ni sawa na kuuliza Chuo cha kufundisha kupenda, hakuna chuo cha kufundisha kupenda.

Vyuo vya Ujasirimali wanacho toa ni elimu ya Biashara kama vile Masoko, kuhudumia wateja na kazalika. Hivyo hakuna chuo chini ya Jua kinacho fundisha watu jinsi ya kuwa wajsirimali, kuna vyuo vya kutoa entreprenership skills.

Ni lazima tutofautishe kati ya Entreprenership skills na Entrepreneurship yenyewe, Kuwa mjasirimali ni wewe mwenyewe mkuu unatakiwa kujitoa, unatakiwa kuchoma meli moto,

Force nyingi zinazo pelekea mtu kuwa mjasirimali ziko moyoni mwako na si kokote kule. Hivyo
1. Huwezi jufunza kutake risk
2. Huwezi jifunza uvumilivu
HIVYO UNAHITAJI SPIRT TU UWEZE KUWA MJASIRIMALI, NA BAADA YA HAPO NDO UTAFUTE ELIMU YA KUKUWEZESHA KUSONGA MBELE.

Elimu kama, ya Fedha, Businsess planning, marketing planning, customer care, sales, pricing, business startup ndo zinazo fundishwa but hizi hazimanishi ujasirimali.

HOPE UMENIPATA, KUNA MIJADALA HUMU TULUSHA ONGELEA SANA HIZI ISHU[/SIZE]
 
Back
Top Bottom