Helpless:...My Dad's Gone!

Pole sana PAkajimmy,
ulimpenda babayako lakini muumba alimpenda zaidi, jina lake liidimiwe
 
PJ pole sana kaka yangu jipe moyo na MUNGU akutie nguvu. Tunajua ni hali ngumu lakini ndio maisha wote tuko njia moja kumbuka

Kulikuwa na familia moja iliyokuwa inaishi katika nyumba nzuri sana ambayo mama wa nyumba hiyo alijitahidi sana kuipendezesha akipanda maua ya kila aina nje ya nyumba yake. Ikawa kila siku asubuhi anaamka anakwenda bustanini anachuma maua yake kisha anayapamba, mengine chumbani, mengine sebuleni na mengine ambayo anayaona si mazuri basi huyatupa jalalani ambako baadaye huchomwa moto.

Na sisi binadamu tu kama maua na MUNGU wetu ndiye aliyetupanda humu duniani. Kila siku YEYE huamua kuchuma ua alipendalo na kwenda kulipamba anapopenda yeye ndani ya nyumba yake. Hatuna uwezo wa kumzuia asichume uwa flani na achukue jingine kwani ni maua yake ni bustani yeke. Sasa basi yatupasa kumshukuru YEYE kwa uamuzi wake wa kulichuma uwa alipendalo toka katika bustani yake na ni wajibu wetu sisi kushukuru kwa jambo hilo na kujenga imani na matumaini kuwa uwa letu (baba yetu mpendwa) limechumwa na kwenda kupambwa ndani ya nyumba kwa kuwa imempendeza YEYE

MUNGU AKUTIE NGUVU PJ. TUKO PAMOJA.
 
understood!
noted!
 
kwa yoyote atakayeguswa na kwenda msibani naomba anipiemu ili tujipange!
tayari wanne tumeshathibitisha kwenda

nilidhani ni vyema tukaenda COLLETIVELY kama friends of pj,from jf
 
kwa yoyote atakayeguswa na kwenda msibani naomba anipiemu ili tujipange!
tayari wanne tumeshathibitisha kwenda

nilidhani ni vyema tukaenda COLLETIVELY kama friends of pj,from jf

Geoff mcibani unamaanisha Kitunda au Mbeya?
 
kwa yoyote atakayeguswa na kwenda msibani naomba anipiemu ili tujipange!
tayari wanne tumeshathibitisha kwenda

nilidhani ni vyema tukaenda COLLETIVELY kama friends of pj,from jf
Muda wa kwenda ni saa ngapi?
 

Duh pole sana ila ndiyo safari ya maisha! Pia mshukuru MUNGU amemchukua mzee ukiwa Mtu Mzima unayejitegemea
 
pole sana ndugu yangu,
Mungu akutie nguvu na afya ufike salama na uhudhurie mazishi ya baba yetu mpendwa.
 
Muda wa kwenda ni saa ngapi?
tutakubaliana mara tutakapothibitisha amefika dar!...
nitakupigieni simu

ahsante umekonfemu!

NB:ninaogopa sana zile mambo za kulaumiana ''kwanini hukuniambia/kwanini hamkutuambia'' ndo maana nimeomba watu wathibitishe kushiriki mapema ili tuplan some other logistics....!
 

oooooooooooooh my god am speechless PakaJimmy
nikirudi katika bible kuna neno linasema mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake si nyingi na zimejaa tabu
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe - Amen
Siko na wewe kimwili lakini kiroho am praying for u upate nguvu na ujasiri
we love you PJ
 

Oooh pole sana Jimmy. Mungu akutie nguvu katika wakati huu mgumu wa majonzi.
 
Pole sana Mkuu PJ. Mungu akupe nguvu na ujasiri wa kukabiliana na hali hii ngumu
 
pole sana PJ Mungu akutie nguvu, akutangulie ufike salama huko uendako
 

Pole sana ndugu yangu... umeumbwa ili ukutane na haya na nina imani kabisa Mungu ana mipango bora kila wakati, hivyo basi hata kwa hili ni anafungua tu chapter mya kwenye maisha yako

NIMEONA UMOJA ULIOONYESHWA NA WAPWA CLAN KWAKWELI MNALETA FARAJA KUBWA!!
 
pamoja!...
tuonane msibani!
 
Pole kwa msiba mzito uliokukuta na Mungu akutie nguvu.
 
Pole kwa kumpoteza mzee wako. Sote njia yetu ni moja. RIP Baba Jimmy.
 
PakaJimmy!

Pole sana kwa kufiwa na baba..May he RIP, Amen.
Mungu akupe uvumilivu na ujasiri katika kipindi hiki kigumu kwako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…