Tetesi: HELSB BATCH 4

Tetesi: HELSB BATCH 4

Mnyonge Kabisa

Senior Member
Joined
Nov 7, 2018
Posts
102
Reaction score
73
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu nchini Tanzania imetoa awamu ya nne kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza 2018/2019 ambapo majina na allocation tayari yametumwa vyuoni.




Mpaka kufikia leo tarehe 18 bodi ya mikopo ya elimu ya juu imeshakwisha kutoa awamu nne ambapo katika awamu zote hizo zaidi ya wanafunzi 37 wamepatiwa mikopo.

Mwisho.
 

Attachments

Kama mtu aliomba mkopo basi ni Maskini au hana uwezo wa kujimudu, so omba upate maana serikali haitaki kutoa Pesa kwa wote.
 
Jamani na vipi kuhusu wale waliotoka kwenye batch1 lakni kwenye allocation hawapo
 
hizo ni batch za chuo na sio za helsb,mbona mnawapa pressure watu!
 
Hivi hii habari ina ukweli wowote,mbona mi naangalia web yao sion ki2,vyanzo vngne nkifatlia nako magumash,mwenye uelewa a2ambie asee
 
Uliyeleta huu uzi vp mbona hakuna lolote linaloendelea majina hakuna kwenye website?
 
hamna kitu kama icho mkuu,majina ya vyuon ni batch tu kwa wale ambao hawajapata allocation za mikopo na walipata mikopo kwenye batch za helsb ya kwanza,pili na tatu! hawawez kutuma chuon wakati hawajaweka kitu kwenye website yao
 
Back
Top Bottom