Bodi ya mikopo ya elimu ya juu nchini Tanzania imetoa awamu ya nne kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza 2018/2019 ambapo majina na allocation tayari yametumwa vyuoni.
Mpaka kufikia leo tarehe 18 bodi ya mikopo ya elimu ya juu imeshakwisha kutoa awamu nne ambapo katika awamu zote hizo zaidi ya wanafunzi 37 wamepatiwa mikopo.
hamna kitu kama icho mkuu,majina ya vyuon ni batch tu kwa wale ambao hawajapata allocation za mikopo na walipata mikopo kwenye batch za helsb ya kwanza,pili na tatu! hawawez kutuma chuon wakati hawajaweka kitu kwenye website yao