Je nakuaje kwa mwanafunzi aliyefanya transfer kutoka chuo A kwenda chuo B, ikiwa allocation ya mkopo wake upo chuo A alichohama? na inachukua muda gani mkopo kuhamishwa kwenda chuo B alichohamia?
Unamshauri nn mwanafunzi huyu? je afanye usajili na kulipa ada nusu chuo B alichohamia kabla hata ya mkopo wake kuhamishwa? au aendelee kusubuli mpaka mkopo wake utakapohamishwa??