Helsb! helsb! helsb!

Helsb! helsb! helsb!

Mushi Eward

Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
35
Reaction score
5
Habari njema kwa wanafunzi wa SUA wakati tukisheherekea kuwaaga dada na kaka zetu waliohitimu leo... Ni kwamba majina ya loan beneficeries yamebandikwa kwenye ubao wa matangazo pale Freedom square. Wanachuo mnaarifiwa kuhakiki na kusaini majina yenu kesho tarehe 30, Octoba kuanzia saa 2 asubuhi...!
 
ukishapokea kumbuka kuvuta hadi february 2014 ukachungulie boom la 3
 
Vitangazo vingne bhana muwe mnatumiana PM huko au facebook.mnakera
 
Back
Top Bottom