Jamani vijana mjiandae kisaikolojia ili ucje katisha maisha kwa kukosa mkopo.
Tujifunze kitu na tujue wazi serikali haina nia ya dhati na hatima ya Elimu TZ.
Ni muda muafaka kuutathmini upya UONGOZI WA NCHI HII.
Naomba muelekeze hasira zenu juu ya upuuzi huu.
Mie nimeamua nirudi kjjn kwetu nikaandae mashamba eka 10.ukitaka ntakukarbsha hom tupige kaz tuxbr mwakani tukiwa na kianzio.Ameen