Helsb

hiljacs

New Member
Joined
Jun 28, 2010
Posts
3
Reaction score
0
Jamani wadau naomba msaada hapa Loan Board tangazo lao waliandika kuwa watatoa mikopo hata kwa wanafunzi wa nje ya nchi ili mradi uwe na offer letter leo nimeenda kufuatilia wale mareceptonist wao wanasema hapana ni kwa wanafunzi wa hapa tu kwa nchi zingine lazima uwe na kibali kutoka wizarani jamani huyu receptionist haelewi nini kinaendelea au ni nini kinatokea?
 
unanikumbusha yaliyotokea ukraine miaka ya 2006
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…