Hashm Member Joined Mar 27, 2012 Posts 47 Reaction score 15 Mar 27, 2012 #1 Am a form six leaver ths year,natafuta tempo yeyote ya kufanya ili niepuke majanga mtaani,am a man of 20 yrs,smart,gud lukng and broadminded! Inbox me plz
Am a form six leaver ths year,natafuta tempo yeyote ya kufanya ili niepuke majanga mtaani,am a man of 20 yrs,smart,gud lukng and broadminded! Inbox me plz
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Mar 27, 2012 #2 Saidia kazi wazazi wewe wacha uvivu. Ninafuga nguruwe subiri nitakupigia niangalie kama nitaweza kukupa banda la kutunza. Usijali malipo, kama nguruwe watanenepa vizuri malipo nayo yatapanda.
Saidia kazi wazazi wewe wacha uvivu. Ninafuga nguruwe subiri nitakupigia niangalie kama nitaweza kukupa banda la kutunza. Usijali malipo, kama nguruwe watanenepa vizuri malipo nayo yatapanda.